Security Council

Shambulio la jengo la Al-Janoub si ishara nzuri

Shambulio la jengo la Al-Janoub si ishara nzuri

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Ismail Ould Cheikh Ahmed amelaani vikali shambulio katika jengo la kamati ya kuratibu sitisho la chuki huko Dhahran Al-Janoub, Yemen.

Sauti -

Madhila Syria yanatisha, imegeuka kama machinjioni - OCHA

Madhila Syria yanatisha, imegeuka kama machinjioni - OCHA

Mwaka wa jana 2016 raia wa Syria walishuhudia uharibifu na mateso makubwa yasio na kifani, hii ni kwa mujibu wa mratibu wa masuala ya dharura wa Umoja wa Mataifa Stephen O'Brien akizungumza kwenye Baraza la usalama hii leo hap makao makuu ya Umoja wa Mataifa kwenye mkutano kuhusu Mashariki ya Kat

Sauti -

Tunaweza kufikia dunia isiyokuwa na silaha za nyuklia - Guterres

Tunaweza kufikia dunia isiyokuwa na silaha za nyuklia - Guterres

Mkutano kwa ajili ya upokonyaji wa silaha umeanza hivi leo ikiwa ni kikao chake cha mwaka 2017 mjini Geneva, Uswisi.

Sauti -

Baraza la Usalama latoa wito kwa serikali ya Sudan Kusini

Baraza la Usalama latoa wito kwa serikali ya Sudan Kusini

Baraza la Usalama limetoa wito kwa serikali ya Sudan Kusini kuongeza juhudi katika ushirikiano baina yake na Umoja wa Mataifa, hususan kuruhusu kupeleka kikosi cha ulinzi cha kikanda nchini humo haraka na kukomesha vizuizi dhidi ya Ujumbe wake,

Sauti -