Sajili
Kabrasha la Sauti
Mazungumzo ya kusaka suluhu ya mgogoro wa Syria yameanza leo mjini Geneva Uswisi, licha ya kukosekana kwa uwakilishi wa upande wa upinzani.
Mkuu wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD) Ulaya na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR),kwa p
Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, UNSMIL, Martin Kobler, amelaani vikali utekaji wa mbunge Mohamed al-Ra’id, na kutaka mbunge huyo aachiwe huru mara moja bila masharti yoyote.