Security Council

Mapigano mapya DRC, Baraza la usalama latoa kauli

Mapigano mapya DRC, Baraza la usalama latoa kauli

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wameshutumu kuzuka upya kwa mashambulio huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia yaCongo, DRC yaliyosababisha kifo cha mlinda amani kutokaTanzaniana majeruhi.

Sauti -

Maendeleo au amani ya muda havina tija, viongozi sikilizeni wananchi wenu: Ban

Maendeleo au amani ya muda havina tija, viongozi sikilizeni wananchi wenu: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa mhadhara kuhusu uhuru kwenye Chuo Kikuu cha Leiden huko The Hague, Uholanzi na kueleza bayana kuwa harakati zozote za kuweka amani au maendeleo ya mu

Sauti -