Security Council

Tusiache mustakhbali wetu ukauke: UM

Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza kuenea kwa jangwa ambapo ujumbe ni kwamba usiache mustakhbali wetu ukauke, ukijikita katika misitu ambayo ndiyo inategemewa kwa uhai wa sayari hii adhimu dunia.

Sauti -

Misaada ya UNICEF haifikii familia za vijijini huko Damascus

Misaada ya UNICEF haifikii familia za vijijini huko Damascus

Takribani raia Milioni Moja nukta Mbili wa Syriawanaoishi maeneo ya vijijini mashariki mwa mji mkuu waSyria,Damascusbado wana mahitaji makubwa ya kibinadamu, na hiyo ni kwa mujibu wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa,

Sauti -

Luteni Jenerali Babacar Gaye kuongoza BINUCA

Luteni Jenerali Babacar Gaye kuongoza BINUCA

Baada ya kuongoza kikosi cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, DRC,

Sauti -

Vikosi vya Mali na makundi ya waasi walikiuka haki za binadamu: UM