Security Council

Malala azindua ombi la elimu, asema walioshambulia wanafunzi Pakistani ni waoga na wanahaha

Malala azindua ombi la elimu, asema walioshambulia wanafunzi Pakistani ni waoga na wanahaha

Binti wa kike aliyenusurika shambulio la bomu lililofanywa na watalibani dhidi yake na wanafunzi wengine miezi Minane iliyopita huko Pakistani amewaita walioshambula kwa mabomu wanafunzi huko Quetta, Pakistani siku ya Jumamosi kuwa ni waoga na wanahaha kuwanyima watoto wa kike haki yao ya elimu.

Sauti -

Ban alaani mashambulizi dhidi ya wanafunzi wa kike nchini Pakistan

Ban alaani mashambulizi dhidi ya wanafunzi wa kike nchini Pakistan

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani mashambulizi yaliyolenga basi moja, hospitali na jumba la kihistoria nchini Pakistan ambapo watu 20 waliuawa wengi wakiwa ni wanafunzi wa kike.

Sauti -

Mnyarwanda kuongoza kikosi cha ujumbe wa UM nchini Mali

Mnyarwanda kuongoza kikosi cha ujumbe wa UM nchini Mali

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteua Meja Jenerali Jean-Bosco Kazura kutokaRwandakuwa Kamanda wa kikosi cha ujumbe wa umoja huo cha kuweka utulivu nchiniMali, MINUSMA ulioundwa hivi ka

Sauti -

Baraza la Usalama lamulika hali ya watoto katika vita vya silaha

Baraza la Usalama lamulika hali ya watoto katika vita vya silaha

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya kikao kuhusu hali ya watoto katika vita vya silaha, ambapo pia limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu watoto katika katika vita, ambayo imesema hali ilikuwa mbovu hata zaidi katika kipindi cha miezi 18 ilopita, wakati mizozo mipya ilipoibuka au

Sauti -

Tusiache mustakhbali wetu ukauke: UM