Security Council

Watekelezaji wa ukatili wa kingono sasa kukiona cha mtema kuni: UM

Hatimaye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua thabiti kuhakikisha kuwa watekelezaji wote wa vitendo vya ukatili wa kingono kwenye maeneo ya mizozo wanakumbana na mkono wa sheria.

Sauti -

Lugha ya Kiswahili yazidi kuenea kwenye medani za kimataifa

Kwa mara ya kwanza ripoti ya Maendeleo ya binadamu inayoandaliaw na shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa imekuwa na muhtasari wake katika lugha ya Kiswahili.

Sauti -

Lugha ya Kiswahili yazidi kuenea kwenye medani za kimataifa

Makubaliano nchini Mali ni nuru kwa wananchi na ukanda mzima: UM

Makubaliano nchini Mali ni nuru kwa wananchi na ukanda mzima: UM

Huko Burkina  Faso wiki hii kulitiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali ya Mali na kundi la MNLA yanayoweka uwanja wa kuelekea kwenye uchaguzi wa rais na kuanzishwa kwa duru la mazungumzo ya amani baina ya serikali ya mpito na kundi la vugu vugu la kitaifa kwa ajili ya mali, MNLA.

Sauti -

Ban azungumzia changamoto zinazokabili walinda amani

Ban azungumzia changamoto zinazokabili walinda amani

Akiwa ziarani nchini China Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amezungumza kwa njia ya video na askari wa nchi  hiyo wanaolinda amani nchini Sudan Kusini alipotembelea kituo cha mafunzo kwa as

Sauti -