Security Council

Hali nchini Mali inatishia amani ya kimataifa: Baraza la Usalama

Hali nchini Mali inatishia amani ya kimataifa: Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limesema hali nchini Mali inatishia amani ya kimataifa na usalama katika kanda nzima, na kuazimia kuunga mkono juhudi za  muungano wa kiuchumi wa nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, katika kushirikiana na serikali ya mpito nchini Mali ili kurejesha uongozi w
Sauti -

Navi Pillay alitaka Baraza la Usalama Kuwasilisha Mzozo wa Syria kwenye Mahakama ya Kimataifa ICC

Navi Pillay alitaka Baraza la Usalama Kuwasilisha Mzozo wa Syria kwenye Mahakama ya Kimataifa ICC

Mkuu wa kamishna ya Umoja wa Mataifa juu ya masuala ya haki za binadamu amerejelea wito akilitaka baraza la usalama kuwasilisha mzozo wa Syria katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu

Sauti -

Ban alaani vikali mashambulizi ya kigaidi kwenye makanisa Kenya

Ban alaani vikali mashambulizi ya kigaidi kwenye makanisa Kenya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotekelezwa siku ya Jumapili dhidi ya makanisa mawili kwenye mji wa Garissa nchini Kenya, na ambayo yalisaba
Sauti -