Security Council

Bado kuna mkwamo mkubwa kurejea kwenye mazungumzo ya moja kwa moja Mashariki ya Kati:UM

Bado kuna mkwamo mkubwa kurejea kwenye mazungumzo ya moja kwa moja Mashariki ya Kati:UM

Ripoti zinaonyesha kuwepo kwa mkwamo juu ya ufufuajii wa mazungumzo ya moja moja ya utanzuaji wa mzozo wa mashariki ya kati wakati ambapo mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kwenye eneo hilo akizidi kuzipa msukumo juhudi zake.

Sauti -

Muda wa kuhudumu kwa Wataalamu wa Vikwazo vya Silaha kwa Mataifa ya Somalia na Eritrea Waongezwa

Muda wa kuhudumu kwa Wataalamu wa Vikwazo vya Silaha kwa Mataifa ya Somalia na Eritrea Waongezwa

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu  kwa jopo la wataalamu wanaofuatilia kutekelezwa kwa vikwazo vya silaha kwa mataifa ya Somalia na Eritrea.

Sauti -

Baraza la Usalama lazitolea mwito Israel na Lebanon kuendelea na Majadiliano Kumaliza Mikwamo

Baraza la Usalama lazitolea mwito Israel na Lebanon kuendelea na Majadiliano Kumaliza Mikwamo

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea kuridhishwa kwake na hatua zinazopigwa kukwamua mkwaruzano wa mambo baina ya Israel na Lebanon ambazo zimeshindana kwa muda mrefu juu ya eneo linalojulikana ukanda wa Blue unaotenganisha mataifa hayo mawili.

Sauti -