Security Council

Viongozi wa Syrian wametekeleza uhalifu dhidi ya ubinadamu:Botswana (GA-66)

Viongozi wa Syrian wametekeleza uhalifu dhidi ya ubinadamu:Botswana (GA-66)

Viongozi wa Syria wanapaswa kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC kukabiliana na makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa ku

Sauti -

Baraza la Usalama lajadili ombi la taifa la Palestina

Baraza la Usalama lajadili ombi la taifa la Palestina

Ombi la Palestina kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa linajadiliwa mchana huu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Rais wa Palestina Mahmoud Abbas aliwasilisha ombi la kutambulika kama taifa kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon Ijumaa iliyopita.

Sauti -

Baraza la usalama lataka kuboreshwa kwa mfumo wa UM