Security Council

Ban amtaka rais wa Syria kuchukua maamuzi dhabiti

Ban amtaka rais wa Syria kuchukua maamuzi dhabiti

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemtaka rais wa Syria kuchukua hatua madhubuti kusitisha vitendo vya ukandamizaji waandamanaji na wakati huo huo akubali kuwaruhusu wataalamu wa haki za binadamu wanaotaka kwenda kufanya uchuguzi wa uvunjivu wa haki za binadamu nchini humo.

Sauti -