Security Council

Baraza la Usalama laani mauwaji ya askari wa kulinda amani Abyei

Baraza la Usalama laani mauwaji ya askari wa kulinda amani Abyei

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali juu ya kuuliwa kwa askari wa kulinda amani wanaohudumu katika jimbo lenye mzozo la Abyei,Sudan.Askari hao wanne walipoteza maisha baada ya kulipukiwa na bomu la kutengwa ardhini wakati wakiwa kwenye operesheni za ulinzi wa amani.Wote wa aska

Sauti -

Baraza la usalama larefusha muda kwa vikosi vya UNAMID kuendelea kusalia Sudan

Baraza la usalama larefusha muda kwa vikosi vya UNAMID kuendelea kusalia Sudan

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limerusha muda wa kuendelea kusalia vikosi vyake vya ulinzi wa amani huko Darfur vikosi ambavyo vinafanya kazi kwa nguvu ya pamoja baina ya Umoja huo wa Mataifa na Umoja wa Afrika.Vikosi hivyo UNAMID sasa vimeongezewa muda wa mwaka mmoja zaidi ili kuendelea n

Sauti -