Security Council

Dunia lazima iisaidie Somalia katika kipindi hiki cha kihistoria kuelekea amani ya kudumu

Dunia lazima iisaidie Somalia katika kipindi hiki cha kihistoria kuelekea amani ya kudumu

Hatua zilizopigwa hivi karibuni kisiasa na kijeshi katika taifa la Somali lililoghubikwa na vita zinatoa fursa muhimu ya kupiga hatua na kukabiliana na changamoto zikiwemo wabbabe wa kivita na magaidi amesema leo afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Afisa Mkuu wa vikosi vya kulinda amani amaliza muda wake na kutaja mafanikio

Afisa Mkuu wa vikosi vya kulinda amani amaliza muda wake na kutaja mafanikio

Afisa wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia  vikosi vya ulinzi wa amani Bwana Le Roy ambaye anajiandaa kumaliza muhula wake, amebainisha mafanikio yaliyofikiwa na idara hiyo na kusema kuwa kuna hatua kubwa zimepigwa ikiwemo utoaji ulinzi kwa mamia ya raia ulienda sambamba na utengamao katika matai

Sauti -

Sudan yachelewesha helkopta ya uaokoaji-UM

Sudan yachelewesha helkopta ya uaokoaji-UM

Mamlaka ya Sudan imetoa tishio kali la kutaka kuidungua helikopta itakayokwenda kwenye eneo la Abyei kwa ajili ya kutoa msaada wa kitabibu kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa ambao wamejeruhiwa vibaya hatua ambayo imesababisha operesheni hiyo ya uokoaji kuchelewa kwa zaidi ya saa tatu

Sauti -