Security Council

Watu 600 wauwawa katika mapigano ya kikabila Kusini mwa Sudan

Watu 600 wauwawa katika mapigano ya kikabila Kusini mwa Sudan

Watu wapatao 600 wameripotiwa kuuwawa na kiasi kingine cha watu 700 kujeruhiwa kufuatia mapigano ya kikabila yaliyozuka huko Kusini mwa Sudan katika jimbo la Jonglei.

Sauti -

Baraza la usalama lataka jitihada zaidi kuleta utengamao Jamhuri ya Afrika ya Kati

Baraza la usalama lataka jitihada zaidi kuleta utengamao Jamhuri ya Afrika ya Kati

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limetoa mwito likitaka kuchukuliwa na hatua za haraka ili kuleta hali ya utulivu katika nchi ya Jamhuri ya Kati ambayo inakabiliwa na mkwamo wa kisiasa.

Sauti -

Rais wa Baraza Kuu la UM asema mageuzi hayakwepeki ndani Umoja huo

Rais wa Baraza Kuu la UM asema mageuzi hayakwepeki ndani Umoja huo

Vyombo muhimu vya Umoja wa Mataifa ikiwemo baraza la usalama, vinapaswa kufanya mageuzi ili kuleta nguvu na ushawishi muhimu katika enzi hii ya karne ya 21.Hayo ni kwa mujibu wa rais wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa Bwana Joseph Deiss ambaye ameonya kuwa utendaji wa umoja huo wa mataifa kwenye e

Sauti -