Security Council

Hospitali na Shule zatajwa kuwa salama kwa watoto

Hospitali na Shule zatajwa kuwa salama kwa watoto

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa hospitali na shule sasa ni makao salama kwa watoto . Kwenye azimio lililopitishwa hii leo, baraza la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kuchukuliwa hatua kwa yeyote ambaye atashambulia vituo hivyo.

Sauti -

Baraza la usalama lafanya marekebisho ili kuwapa fursa zaidi majaji wanaosikiliza kesi za mauwaji ya Rwanda

Baraza la usalama lafanya marekebisho ili kuwapa fursa zaidi majaji wanaosikiliza kesi za mauwaji ya Rwanda

Baraza la usalama limefanyia marekebisho mfumo uliopo kwenye mahakama inayosikiliza mauji ya kimbari ya Rwanda yaliyofanywa mwaka 1994 ili kutoa nafasi kwa majaji wasiokuwa wa kudumu kwenye mahakama hiyo kuwa na fursa ya kupiga kura kumchagua rais atakayesimamia shughuli za mahakama.

Sauti -