Security Council

Iraq yahitaji uungwaji mkono wa UM

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Ad Melkert anasema kuwa taifa la Iraq linaweza kusherehekea hatua lililopiga lakini hata hivyo linakabiliwa na changamoto zikiwemo za kisiasa , kiusalama na za kimaendeleo zinazohitaji uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa jamii ya kimataia

Sauti -

Rais wa Baraza Kuu ataka kuwepo majadiliano zaidi juu ya mageuzi kwenye Baraza la Usalama

Rais wa Baraza Kuu ataka kuwepo majadiliano zaidi juu ya mageuzi kwenye Baraza la Usalama

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amezitaka nchi wanachama wa umoja huo kujiingiza kwa dhati kwenye majadiliano yanayoendelea sasa kuhusiana na mpango wa mageuzi ndani ya Baraza la usalama.Kuna majadiliano yanayopewa uzito ambayo yanataka kupanuliwa kwa chombo hicho na kukaribisha wanachama

Sauti -

UM walaani vikali shambulizi la kigaidi India

UM walaani vikali shambulizi la kigaidi India

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ,Baraza la Usalama, wote kwa pamoja wamelaani vikali tukio la mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye maeneo mbalimbali ya mji wa Mumbai na kueleza kuwa vitendo kama hivyo havikubaliki.

Sauti -

Baraza la Usalama waikosoa Syria kutokana na kushambuliwa kwa balozi kadhaa.

Baraza la Usalama waikosoa Syria kutokana na kushambuliwa kwa balozi kadhaa.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kwa pamoja na Baraza la Usalama amelaani vikali tukio la mashambulizi katika ofisi za ubalozi huko Damasca Syria ambako kumesababisha kuwepo kwa uharibifu pamoja na kuwajeruhiwa wanadiplomasia kadhaa.Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, balozi za M

Sauti -