Security Council

Baraza la usalama la UM laongeza muda wa kikosi cha UM nchini Ivory Coast

Baraza la usalama la UM laongeza muda wa kikosi cha UM nchini Ivory Coast

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Ivory Coast (UNOCI) kwa mwaka mmoja zaidi ili kulisaidia taifa hilo kukabiliana na changamoto zinazolikabili kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu uliopita.

Sauti -

Baraza la Usalama lataka kundi la LRA kuweka silaha chini

Baraza la Usalama lataka kundi la LRA kuweka silaha chini

Baraza la Usalama leo limelaani vikali matukio ya mashambulizi yanayoendelea kufanywa na vikosi vya Lord resistance army LRA huko Afrika ya Kati na kulitaka kundi hilo kusitisha mara moja vitendo hivyo.Mashambulizi hayo yasiyo na macho yamesababisha mamia kwa maeflu ya wananchi kuingia kwenye mta

Sauti -

Iraq yahitaji uungwaji mkono wa UM