Security Council

UM wataka operesheni za kijeshi Libya zisitishwe

UM wataka operesheni za kijeshi Libya zisitishwe

Maafisa wa kutoa misaada wa umoja wa mataifa wametaka kusitishwa kwa muda operesheni za kijeshi nchini Libya ili kupisha shughuli za utoaji misaada ya kiutu kwa mamia ya raia wanaohangaika nchini humo.

Sauti -

UM unasema Somalia inahitaji msaada wa dharura

UM unasema Somalia inahitaji msaada wa dharura

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa hii leo inasema kuwa hata baada ya Serikali ya mpito ya Somalia kupiga hatua kubwa nchi hiyo kwa dharura inahitaji usaidizi kutoka kwa washirika wake wa kimataifa ili iweze kukabiliana na changamoto zilizopo na kupata amani.

Sauti -

Maeneo ya mizozo kujadiliwa kwenye baraza la usalama:Gerard

Ufaransa ambayo itakuwa ni rais wa mzunguko kwenye baraza la usalama mwezi huu wa Mai inasema itajikita katika maeneo yanayoghubikwa na machafuko mwezi huu.