Chuja:

SECCO

Njaa na mizozo ni Zinduna na Ambari

Mizozo na njaa kali vyaendelea kuambatana kwenye maeneo kadhaa duniani na kuacha watoto, wanawake, wanaume, vijana kwa wazee hoi bin taaban. Baraza la Usalama lakumbushwa wajibu wake.

Mizozo na njaa, ni mada kuu iliyojadiliwa leo kwenye Baraza la Usalama laUmoja wa Mataifa, wajumbe wakiangazia ni kwa jinsi gani vitendo vya chuki baina ya pande kinzani kwenye migogoro vinachochea ukosefu wa uhakika wa chakula.

Sauti
2'8"
UN /Loey Felipe

Matumaini ya amani mashariki ya kati yanamomonyoka- UN

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao kuhusu hali ya mashariki ya kati hususan suala la Palestina.

Kikao hicho kimehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas.

Akihutubia kikao hicho, Bwana Guterres amesema baada ya miongo kadhaa ya kuunga mkono uwepo wa mataifa mawili yaani Israel na Palestina..

(Sauti ya Antonio Guterres)

Sauti
2'21"