SDGs

Tanzania iko mstari sahihi, utekelezaji wa SDGs- Moshi

Ujuzi wa kiuchumi wa miaka 70 ni somo kwa SDG's

Ripoti ya Kimataifa ya Kiuchumi na Kijamii ya 2017 iliyotolewa leo na idara ya uchumi na masuala ya kijamii ya Umoja wa Mataifa DESA , imeweka bayana kuwa uchambuzi bado ni muhimu katika kuongoza mataifa wakati huu ambapo dunia inapitia hali ngumu ya kiuchumi na pia katika utekelezaji wa ajenda y

Sauti -

Ujuzi wa kiuchumi wa miaka 70 ni somo kwa SDG's

Teknolojia ya habari na mawasiliano muhimu katika kutimiza SDGs

Wakitanabaisha umuhimu wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Teknohama) katika ulimwengu wa sasa, ofisi na wakuu wa mashirika zaidi ya 20 ya Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kukumbatia teknolojia hizo ili kuchapusha utekelezaji wa ajenda ya 2030 ya malengo ya maendeleo endelevu au SDG’s.

Sauti -

Teknolojia ya habari na mawasiliano muhimu katika kutimiza SDGs

Uthubutu wa kutekeleza yanayosemwa utafanikisha SDGs- Moshi

SDGs.(Picha:UNIC/Tanzania)Utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs uko katika mstari sahihi nchini Tanzania kufuatia sera mpya zilizopo za kuhakikisha ulinzi wa mapato ya kitaifa.

Sauti -

Uthubutu wa kutekeleza yanayosemwa utafanikisha SDGs- Moshi

Mabadiliko thabiti ya UM yahitajika kukidhi SDGs- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akiwasilisha ripoti ya mapendekezo yake kuhusu mabadiliko ya mfumo wa Umoja wa Mataifa. (Picha: UN/Kim Haughton)

Sauti -

Mabadiliko thabiti ya UM yahitajika kukidhi SDGs- Guterres