SDG16

29 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea 

Sauti -
13'23"

Haki Afrika yaenda maskani kukutana na vijana

Nchini Kenya, shirika la kiraia la Haki Afrika limechukua hatua ya kufuata vijana maskani kama njia mojawapo ya kufanikisha utekelezaji wa lengo namba 16 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
2'46"

Haki Afrika na mbinu za kuleta utangamano kati ya vijana na polisi nchini Kenya