Majiko yatumiayo nishati ya jua pekee au sola kwa ajili ya kupikia ni Ushindi mkubwa katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs, limesema shirika la kimataifa linalochagiza matumizi ya majiko ya nishati ya jua , lijulikanalo kama Solar Cookers International (SCI).