Mkakati wa kimatataifa wa shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO wa kuharakisha kutokomeza Saratani ya Shingo ya Kizazi, umezinduliwa leo hii Novemba 17 mjin
Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea
-Umoja wa Mataifana washirika wake leo wamezindua ombi la pamoja la kuchangisha dola milioni 877 ili kushughulikia janga la wakimbizi wa Rohingya na jamii zinazowahifadhi nchini Bangladesh.
Katika maadhimisho ya siku ya saratani duniani hii leo, Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limeelezea umuhimu wa kuongeza huduma za kukabiliana na saratani kati
Katika maadhimisho ya siku ya saratani duniani hii leo, Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limeelezea umuhimu wa kuongeza huduma za kukabiliana na saratani katika nchi zenye kipato cha chini na cha wastani.
Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani, IARC na wadau wake wamezindua toleo la tatu la atlasi au kitabu cha ramani kinachoonesha hali ya saratani duniani.
Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani, IARC na wadau wake wamezindua toleo la tatu la atlasi au kitabu cha ramani kinachoonesha hali ya saratani duniani.
Sera zilizo Rafiki kwa masuala ya familia ni muhimu katika kuhakikisha idadi ya Watoto wachanga wanaonyonyeshwa katika miei sita ya mwanzo ya maisha yao inaongezeka kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto