Sajili
Kabrasha la Sauti
Nchini Syria msaada kutoka Kuwait umewezesha angalau wagonjwa wa saratani kupata matibabu wanayohitaji na kuwarejeshea matumaini wakati huu ambapo mapigano yanayoendelea nchini humo yamesambaratisha huduma za afya.