saratani

Saratani yasababisha hasara ya dola bilioni 46

Ripoti mpya kutoka katika kituo  cha kimafaida cha utafiti wa ugonjwa wa saratani duniani,IARC inasema ugonjwa huo imezigharimu nchi zenye uchumi wa kati  ,kiasi cha dola za kimarekani bilioni 46 tangu  mwaka 2012.

Sauti -

Saratani yasababisha hasara ya dola bilioni 46

Cambodia yafungua milango ya kituo chake cha kwanza cha saratani

Serikali ya Cambodia leo imefungua kituo cha kitaifa cha kwanza kabisa cha ugonjwa wa saratani nchini humo.

Sauti -

Cambodia yafungua milango ya kituo chake cha kwanza cha saratani