Shirika la afya ulimwenguni, WHO hii leo limetoa ripoti yake kuhusu matumiziya tumbaku duniani inayoonesha kuwa licha ya mafanikio katika kudhibiti matumizi ya bidhaa hiyo bado kuna changamoto ya utekelezaji wa sera ikiwemo zile za kusaidia watu kuondokana na matumizi ya tumbaku.