Zaidi ya wakimbizi 500 wa DRC wasaka hifadhi nchini Uganda
Watu zaidi ya 500 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wamelazimika kusaka hifadhi katika nchi jirani ya Uganda kufuatia mapigano mapya yaliozuka juma lililopita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.