Sahel

Ahadi ni deni Niger yaikumbusha UN

Serikali ya Niger imeukumbusha Umoja wa Mataifa kutekeleza mabadilliko katika mfumo wa vikosi vya Umoja huo vya kulinda amani kutoka nchi tano za Sahel vijulikamavyo kama G5.

Ukanda wa Sahel una fursa nyingi za maendeleo

Ukanda  wa Sahel  mpana kuanzia Chad katikati mwa Afrika hadi pwani ya Magharibi mwa bara hilo, ni moja ya sehemu masikini wa kupindukia duniani, ambako athari za mabadiliko ya tabia nchi na ugaidi vinaongoza kwa kuongeza hali ya umasikini na kutokuwepo usalama.

 

Sauti -
2'11"

Sahel sio ukanda wa zahma bali wa fursa: Thiaw

Ukanda wa Sahel barani ASfrika haupaswi kuchukuliwa kama ukanda wa zahma, badala yake unapaswa kuonekana kama wa fursa, kwa mujibu wa mshauri maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Sahel, Ibrahim Thiaw.

Heko Burkina Faso na Benin kwa kufuta adhabu ya kifo- UNOWA

Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa nchi za Afrika Magharibi, Mohammed Ibn Chambas amesema licha ya harakati za kidemokrasia kuendelea kushamiri kwenye ukanda huo lbado vikundi vya kigaidi vimeendelea kuwa tishio kwenye ukanda wa Sahel na bonde la ziwa Chad.

Jua la Sahel Afrika laweza kuzalisha asilimia 70 ya mahitaji ya umeme duniani

Ukanda wa Sahel barani Afrika umeelezwa kuwa mbioni kujikomboa na changamoto ya nishati kuanzia mijini hadi vijijini. Hii ni kutokana na mpango mpya wa Umoja wa Mataifa ambao lengo ni kutumia rasilimali kubwa ya asili ukanda huo ambayo ni jua, kuzalisha umeme kwa matumiazi ya majumbani na shughuli zingine , sio tu Sahel peke yake bali Afrika nzima na zaidi.

Mpango wa kusaidia Sahel wazinduliwa leo, utajiri wa ukanda huo wawekwa bayana

Umoja wa Mataifa umesema rasilimali lukuki zilizopo kwenye ukanda wa Sahel ni moja ya suluhu mujarabu ya matatizo yanayokabili eneo hilo.

Hali ya chakula eneo la Sahel inasikitisha OCHA

Watoto  milioni 1.6 wanakabiliwa na utapiamlo uliokithiri katika mataifa sita ya  eneo la Sahel barani Afrika na hivyo kunahitajika msaada wa haraka kuweza kubadilisha hali hiyo.

Heko G5 huko Sahel kwa kulinda raia-UN

Ukanda wa Sahel unakabiliwa na mashambulizi na shida za mara kwa mara ambapo nchi tano kwenye ukanda huo zimeunda kikosi cha kukabili mashambulizi kiitwacho, G5.

Sauti -
2'14"

Heko G5 huko Sahel kwa kulinda raia-UN

Ukanda wa Sahel unakabiliwa na mashambulizi na shida za mara kwa mara ambapo nchi tano kwenye ukanda huo zimeunda kikosi cha kukabili mashambulizi kiitwacho, G5.

Ukanda wa Sahel waona nyota ya jaha!

Dola bilioni 2.7 kusaidia nchi za Sahel na kiwango hicho cha fedha kimetangazwa leo huko Mauritania na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J Mohamed  .