safari Doctors

19 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha

-Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibindamu na masula ya dharura OCHA yatoa shukrani zake kwa wahudumu wa kibinadamu kokote waliko katika kuokoa maisha.

Sauti -
13'27"

Wakazi wa Lamu Kenya wabadiuli tabia kutokana na COVID-19

Umra Omar ambaye ni miongoni mwa mashujaa watano wa kiutu kwa mwaka huu wa 2020 ameelezea jinsi janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 limesaidia kusongesha kazi yao ya kupatia tib

Sauti -
1'43"

17 AGOSTI 2020

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'3"