UN yazipongeza Korea Kaskazini na Kusini
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha hatua ya Korea Kaskazini na Korea Kusini kufungua tena mawasiliano ya niia ya simu kati yao.
Hatua ya nchi hizo mbili kufungua mawasiliano ya moja kwa moja kati ya marais wao ilitangazwa Jumatano ambapo Katibu Mkuu kupitia naibu msemaji wake Farhan Haq amesema..
(Sauti ya Farhan Haq)