rohingya

Benki ya Dunia yaishika mkono Bangladesh ili iboreshe huduma kwa warohingya

Benki ya Dunia imechukua hatua kusaidia Bangladesh kuimarisha huduma za afya  ili nchi hiyo iweze kukabiliana na mahitaji ya wakimbizi wa Rohingya waliosaka hifadhi eneo la Cox’s Baz ar nchini humo.

Michelle Bachelet asema yafaa kuboresha mbinu za kubaini mauaji ya kimbari

Mauaji ya kimbari bado ni tishio kwa karne hii ya 21 na hivyo ni lazima tuchukue kila  hatua kuyaepusha.

Sauti -
2'7"