Regions

Castro aaga dunia, Ban atuma rambirambi

Castro aaga dunia, Ban atuma rambirambi

Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro amefariki dunia Ijumaa usiku kwa saa za Cuba. Alikuwa na umri wa miaka 90.

Sauti -

LGBTI wanafanyiwa ukatili na kubaguliwa: Mtaalamu UM

LGBTI wanafanyiwa ukatili na kubaguliwa: Mtaalamu UM

Watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, waliobadili jinsia, mashoga na wanawake wanaotembea na wanawake wenzao au LGBTI kote duniani wanaendelea kupokea lugha za chuki, ikiwa ni pamoja na kushambuliwa kwenye vyombo vya habari, kama vile vurugu na ubaguzi, amesema mtaalamu huru kuhusu ubaguzi dhid

Sauti -

Televisheni ni chombo mahususi kwa ajili ya taarifa kwa umma: UNESCO

Televisheni ni chombo mahususi kwa ajili ya taarifa kwa umma: UNESCO

04barazakuutvLeo ni siku ya kimataifa yaTelevisheni.

Sauti -

Baharia amekuletea nini?:IMO

Baharia amekuletea nini?:IMO

Siku ya mabaharia duniani imeadhimishwa kwa kutambua mchango wa kundi hilo katika maisha ya kila siku ya jamii nzima duniani.

Sauti -

Ban, Pillay walaani adhabu za waandishi wa habari Misri