Regions

Usugu wa viuavijasumu ni tisho kwa kwa maendeleo endelevu: UM

Usugu wa viuavijasumu ni tisho kwa kwa maendeleo endelevu: UM

Usugu wa viuavijasumu au antimicrobial resistance AMR ni tisho kubwa la kutimiza ajenda ya 2030 ya maendeleo endelevu amesema naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed.

Sauti -

Kila mtoto anastahili kuishi kwa usalama: UNICEF

Kila mtoto anastahili kuishi kwa usalama: UNICEF

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Anthony Lake amesema kuwa watoto wakimbizi wanaokimbia machafuko na

Sauti -

Bahari njema kwa kizazi kijacho :Thomson

Bahari njema kwa kizazi kijacho :Thomson

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Peter Thomson ametoa wito kwa nchi wanachama kuchukua hatua kupunguza uchafuzi unaoendelea katika bahari.

Sauti -

Kila mwanadamu awajibike kulinda mazingira:UNEP

Kila mwanadamu awajibike kulinda mazingira:UNEP

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP Erik Solheim amesema kuwa kila mwanadamu anawajibu na jukumu la kulinda mazingira na dunia.

Sauti -

Rais wa zamani Ureno afariki dunia, Guterres atuma rambirambi

Rais wa zamani Ureno afariki dunia, Guterres atuma rambirambi

Rais wa zamani wa Ureno Mário Soares amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 92.

Sauti -