Regions

Tuongeze dola bilioni 1 kila mwaka kwa CERF ifikapo 2018 - Ban

Tuongeze dola bilioni 1 kila mwaka kwa CERF ifikapo 2018 - Ban

Katibu mkuu Ban Ki-moon ametoa wito kwa ongezeko wa dola billion moja kila mwaka kwa mfuko wa dharura wa usaidizi wa kibinadamu wa umoja huo CERF ifikapo mwaka 2018.  

Sauti -

Ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wabunge unaongezeka: IPU

Ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wabunge unaongezeka: IPU

Kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya wabunge walioteswa na pia ukiukaji wa haki zao za msingi katika mwaka wa 2016 , ambapo kote duniani kuna hatari ya wabunge wanakabiliwa na kunyimwa haki zao za uhuru wa kujieleza, hii ni kwa mujibu wa takwimu za muungano wa mabunge duniani IPU

Sauti -

Bokova alaani mauaji ya wana habari Finland

Bokova alaani mauaji ya wana habari Finland

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, amelaani mauaji ya wana h

Sauti -

Uchumi unatoa fursa ya kufikia malengo ya SDG: ESCAP

Uchumi unatoa fursa ya kufikia malengo ya SDG: ESCAP

Hali imara ya kiuchumi katika kipindi cha pili ya mwaka wa 2016 inatoa fursa ya kuelewa hali ya kiuchumi, kijamii, kimazingira na vipimo vya utawala ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu ipasavyo.

Sauti -

Usafiri endelevu ni njia mojawapo ya kufanikisha ajenda 2030

Usafiri endelevu ni njia mojawapo ya kufanikisha ajenda 2030

Katibu mkuu wa Umoja Ban Ki-moon amesema ni wazi suala la umuhimu wa usafiri endelevu halina mjadala.

Sauti -