ISIL bado ni kitovu cha tishio la ugaidi :UN
Licha ya kupoteza udhibiti wa moja ya maeneo ya mwisho waliyokuwa wakiyahidhi nchini Iraq na kuuawa kwa kiongozi wake, kundi la kigaidi la ISIL linasalia kuwa kitovu cha tishio la ugaidi kimataifa amesema afisa wa Umoja wa Mataifa kwenye Baraza la usalama hii leo Ijumaa.