Raga

Ovale Citoyen ya Ufaransa wamenirudisha michezoni – Mkimbizi kutoka Syria.

Nchini Ufaransa, wanamichezo wa zamani wataalamu wa mchezo wa raga, kupitia taasisi yao ya Ovale Citoyen, wanatumia mchezo huo kama njia ya kujenga kujiamini na kuleta hali ya kijamii kati ya wakimbizi na watu waliotengwa.

Mabadiliko ya tabianchi hayabagui

Mabadiliko ya tabianchi hayabagui wala hayachagui, yanakumba kila mahali na kila bara. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa athari zake ni dhahiri na kuna maeneo yaliyoahatarini zaidi mfano yale ya nchi za visiwa vidogo vinavyoendelea.

Sauti -
3'33"