Teknolojia yaisaidia Uganda kukusanya takwimu za wananchi kuhusu SDG’s
Kongamano la takwimu la Umoja wa Mataifa linaendelea mjini Dubai katika Falme za Kiarabu huku wataalamu na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali wakijadili hatua wazochukua katika ukusanyaji wa takwimu na umuhimu wake katika utekelezaji wa malenmgo ya maendeleo endelevu, SDG’s.