Mafanikio ya mradi wa TASAF Tanzania wasababisha Benki ya Dunia kufadhili awamu ya II
Nchini Tanzania, Benki ya Dunia hii leo imetiliana saini na serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki mkataba mkopo nafuu wa dola milioni 540 za kimarekani sawa na shilingi trilioni 1.04 za kitanzania.