Lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kwanza ya kiafrika inayozungumzwa na watu wengi zaidi barani Afrika, ikiendelea kupokelewa na kutumiwa katika vyombo mbalimbali vya maamuzi kama vile kufanywa miongoni mwa lugha rasmi za SADC.
Habari njema! Idhaa yetu ya Kiswahili ya Umoja wa Maitafa yaibuka kidedea katika tuzo za kimataifa za Kiswahili za Shaaban Robert katika ukuzaji wa msamiati!