Posta

Posta bado ni tegemeo la wengi kwa barua na vifurushi

Posta bado ina mchango mkubwa kote duniani  kwa maisha ya watu na maendeleo endelevu ambapo kila mwaka husafirisha barua bilioni 368.4 na vifurushi bilioni 6.4.

Sauti -
2'25"

09 Oktoba 2018

Hii leo jaridani tunaanzia Sudan Kusini ambapo Umoja wa Mataifa umetaka wanawake washirikishwe katika mchakato wa amani. Tunaangazia masuala ya wakimbizi ambapo yaelezwa kuwa kila mwaka mchango wa kusaidia kundi hilo unazidi kusinyaa.

Sauti -
11'21"

Mabilioni ya barua na vifurushi bado yanategemea posta kila mwaka:UPU

Posta bado ina mchango mkubwa kote duniani  kwa maisha ya watu na maendeleo endelevu ambapo kila mwaka husafirisha barua bilioni 368.4 na vifurushi bilioni 6.4