Posta

Posta Tanzania yaenda na wakati, yasafirisha damu salama kwa ‘drones’ 

Nchini Tanzania shirika la posta nchini humo, liko katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs ikiwemo lile la 3 la afya njema na ustawi wa jamii kwa kuhakikisha damu salama inapatikana kule inakohitajika. 

UPU kupanua wigo wa huduma za kifedha mtandaoni

Shirika la posta duniani, UPU, litazindua huduma mpya ya utumaji fedha kidijitali kwa kutumia mashirika ya posta katika nchi 8 duniani.

Nini maoni ya watu kuhusu huduma za posta katika zama za sasa?

Huduma za posta duniani zikitimiza miaka 145, Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa imesakaka maoni ya watu kuhusu huduma hizo wakati huu ambapo baadhi wanasema tayari imejichimbia kaburi ilihali wengine wakisema ndio kwanza inashamiri.

Huduma za posta zaenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia- UPU

Shirika la posta duniani, UPU, limetaka maadhimisho ya siku ya posta duniani hii leo  yatumike kutathmini jinsi ambavoy shirika hilo lililoanzishwa miaka 145 iliyopita limechangia katika kusongesha utu na maendeleo.

09 Oktoba 2019

Hii leo habari yetu kubwa ni kuhusu utafiti uliofichua jinsi wanawake wanavyokumbwa na mateso wanapokuwa wanajifungua, makaripio, kukemewa na kadha wa kadha. Kisha ni harakati za kukabili mlipuko wa surua huko DR Congo, ugonjwa ambao sasa ni tishio kuliko hata Ebola.

Sauti -
10'54"

Posta bado ni tegemeo la wengi kwa barua na vifurushi

Posta bado ina mchango mkubwa kote duniani  kwa maisha ya watu na maendeleo endelevu ambapo kila mwaka husafirisha barua bilioni 368.4 na vifurushi bilioni 6.4.

Sauti -
2'25"

Mabilioni ya barua na vifurushi bado yanategemea posta kila mwaka:UPU

Posta bado ina mchango mkubwa kote duniani  kwa maisha ya watu na maendeleo endelevu ambapo kila mwaka husafirisha barua bilioni 368.4 na vifurushi bilioni 6.4

Posta na intaneti kuendelea kuwa sambamba- Ripoti

Huku kasi ya teknolojia ya mawasiliano ikizidi kuongezeka, baadhi ya watu wamekuwa wakidhani kuwa sasa kifo cha huduma za posta kimewadia. Hata hivyo ripoti ya leo inaonyesha kuwa posta na intaneti vitaendelea kuwa sambamba na kuhitajiana zaidi na zaidi.