Polio

Wahudumu 2 wa kutoa chanjo dhidi ya Polio Somalia wauawa, UNICEF yalaani

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limeeleza kushtushwa kwake na mauaji ya wafanyakazi wawili wa kibinadamu mjini Mogadishu nchini Somalia hii leo.

Kampeni ya chanjo dhidi ya polio na surua Somalia kichocheo cha mustabali bora wa watoto

Malaki ya watoto nchini Somalia wamechanjwa dhidi ya ugonjwa wa surua na polio wakati wa kampeni ya chanjo kudhibiti mlipuko wa magonjwa hayo hatari, imeeleza taarifa ya mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM.

Sauti -
3'6"

08 Oktoba 2020

Katika kila sekunde 16 mtoto mmoja huzaliwa mfu, imesema ripoti mpya ya aina yake iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake.

Sauti -
12'30"

Chanjo dhidi ya surua na polio yaendelea ili kuokoa mustakabali wa watoto Somalia 

Malaki ya watoto nchini Somalia wamechanjwa dhidi ya ugonjwa wa surua na polio wakati wa kampeni ya chanjo kudhibiti mlipuko wa magonjwa hayo hatari, imeeleza taarifa ya mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM.

Mikakati ya vita dhidi ya polio yasaidia kudhibiti COVID-19 Pakistan:WHO

Timu ya shirika la afya duniani WHO inayohusika na kutokomeza polio imekuwa ikifanyakazi usiku na mchana kusaidia hatua za kupambana na janga la corona au

Sauti -
2'45"

07 SEPTEMBA 2020

Katika Jarida la Habnari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Katika maadhimisho ya kwanza kabisa ya siku ya kimataifa ya hewa safi kwa ajili ya anga ya rangi ya blu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mshikamano kutokomeza uchafuzi wa hewa

Sauti -
12'51"

Timu ya WHO ya kupambana na polio Pakistan yasaidia vita dhidi ya COVID-19

 Timu ya shirika la afya duniani WHO inayohusika na kutokomeza polio imekuwa ikifanya kazi usiku na mchana kusaidia hatua za kupambana na janga la corona au COVID-19 kwa kushirikiana na serikali ya Pakistan tangu mwanzo wa mlipuko wa ugonjwa huo huku ikiendelea na kazi ya kutokomeza polio. 

Kampeni za nyumba kwa nyumba, eneo kwa eneo zatokomeza Polio Afrika

Polio! Polio! Polio! Ugonjwa uliokuwa ukilemaza watoto 75,000 kila mwaka wakati wa miaka ya 1990 katika nchi za Afrika wanachama wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa kanda ya Afrika.

Sauti -
3'58"

27 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha

Sauti -
13'13"

Afrika yatokomeza Polio

Hatimaye nchi za Afrika zilizo kwenye ukanda wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO kwa kanda ya Afrika zimefanikiwa kutokomeza ugonjwa wa Polio.