plastiki

UNICEF inaona waokota takataka wanaweza kuwa washirika muhimu wa mazingira

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na kampuni ya Conceptos Plasticos ya Columbia wanaendesha mradi wa kubadil

Sauti -
2'7"

Waokota takataka wanaweza kuwa washirika muhimu wa mazingira-UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na kampuni ya Conceptos Plasticos ya Columbia wanaendesha mradi wa kubadili takataka za plastiki kuwa matofali ya kujengea shule nchini Côte d’Ivoire. 

Havillah Smart Enviros si tu tunaokoa mazingira, bali bila tunasaidia kuzalisha ajira Kenya

Huku mirundiko ya taka ikiendelea kushuhudiwa katika miji mingi hususan kwenye nchi zinazoendelea, katika miaka ya hivi karibuni baadhi ya wakazi wa miji hii wamekuwa wakibuni njia za kujipatia kipato kutokana na taka hizi, hatua ambazo kwa upande mwingine  zimechangia katika kuboreka mazingira y

Sauti -
4'52"

Ukikusanya chupa kulinda mazingira utazawadiwa:Inuka Foundation

Chupa na hasa la plastiki imekuwa moja ya tatizo kubwa la uchafuzi wa mazingira duniani na juhudi zinafanyika katika ngazi mbalimbali kuhakikisha taka hizo haziendeleo kuzagaa au kuishia baharini.

Sauti -
4'

Chembechembe za plastiki kwenye maji si tishio kama vile kunywa maji machafu- Ripoti

Chembechembe za plastiki ziko kila sehemu lakini havihatarishi afya ya binadamu limesema Shirika la afya ulimwenguni, WHO leo Alhamisi.

Sauti -
2'36"

WHO yasema si chembechembe zote za plastiki zina madhara kwa binadamu, lakini tafiti zaidi zahitajika

Chembechembe za plastiki ziko kila sehemu lakini havihatarishi afya ya binadamu limesema Shirika la afya ulimwenguni, WHO leo Alhamisi. Grace Kaneiya na maelezo zaidi.

Kampuni zajitokeza katika kukabiliana na tatizo la plastiki

Shirika la chakula na kilimo duniani

Sauti -
1'54"

Kampuni zaendelea kuitikia wito wa UN wa kuondokana na plastiki

Shirika la chakula na kilimo duniani FAO limeonyesha mfano wa manufaa yanayoanza kupatikana kutokana na matumizi mbadala ya bidhaa za plastiki, ikiwemo vifungashio ambavyo hivi sasa kampuni zinatengeneza ili kupunguza matumii ya vifungashio vya plastiki vinavyochafua mazingira.

29 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea 

Sauti -
13'23"

Hongera Antigua na Barbuda kwa kupiga marufuku matumizi ya mara moja ya plastiki:PGA

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo amekaribisha azimio jipya lililopitishwa nchini Antigua na Barbuda la kuchukua hatua dhidi ya matumizi ya mara moja plastiki ambazo huchafua mazingira.