Pilipili

UNDP yapiga jeki juhudi za wakulima wa pilipili Tanzania

Nchini Tanzania harakati za kuondokana na umaskini zinaendelea kushika kasi mashinani zikipigiwa chepuo na Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa hatua hizo ni kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda kinachoendeshwa na wanawake kupitia chama cha wakulima wa mboga na matunda nchini Tanzania, TAHA.

Sauti -
5'38"

Mzee ajikwamua kwa kujiimarisha katika kilimo cha pilipili, Uganda

Katika juhudu za binafsi za kufikia lengo namba moja la malengo ya maendeleo endelevu au SDGs, mzee mmoja nchini Uganda ameamua kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini kwa kujiimarisha katika kilimo cha pilipili.

Sauti -
3'40"

Ikiwa na lebo ya pilipili ya Penja hutoacha kununua- FAO

Utafiti mpya wa Umoja wa Mataifa na wadau wake umebaini kwa bidhaa yoyote ile inapobandikwa lebo inayoonyesha eneo halisi ilikozalishwa, inakunwa na manufaa zaidi ya kiuchumi na kijamii kwa maeneo ya kijijini na pia huchagiza maendeleo endelevu.

Sauti -
1'52"

Ikiwa na lebo ya pilipili ya Penja hutoacha kununua- FAO

Utafiti mpya wa Umoja wa Mataifa na wadau wake umebaini kuwa bidhaa yoyote ile inapobandikwa lebo inayoonyesha eneo halisi ilikozalishwa, inakunwa na manufaa zaidi ya kiuchumi na kijamii kwa maeneo ya kijijini na pia huchagiza maendeleo endelevu.