Matatizo ya kiuchumi yanapunguza matarajio ya ajira katika nchi masikini: ILO
Kuongezeka kwa viwango vya madeni vilivyochangiwa na mfumuko mkubwa wa bei na kupanda kwa viwango vya riba kumekatisha matumaini ya wanaosaka ajira katika nchi zinazoendelea, limeonya leo shirika la kazi la Umoja wa Mataifa duniani (ILO).