Papua New Guinea

02 Julai 2019

Hii leo jaridani Grace Kaneiya anaanzia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limelazimika kuongeza operesheni zake za mgao wa chakula kutokana na ghasia zaidi za kikabila.

Sauti -
10'57"

Kutoka kujifungulia watoto kwenye lori hadi kupata kituo cha afya

Nchini Papua New Guinea, wanawake wamechukua hatua kulinda afya zao. Baada ya safari za kutwa kucha kufuata vituo vya afya vilivyokuwa vinapatikana umbali mrefu, wanawake walishikamana na kusaka usaidizi kutoka Benki ya Dunia ili kuanzisha kituo cha afya kwenye kijiji chao.

Sauti -

Kutoka kujifungulia watoto kwenye lori hadi kupata kituo cha afya