Pakistan

Athari za mabadiliko ya tabianchi sasa ni dhahiri

Mabadiliko ya tabianchi yameanza kuathiri mataifa yote. Mabara karibu yote yameanza kupata athari za mabadiliko haya na katika baadhi ya sehemu yameanza kuleta maafa.Hiyo ndio mada ya makala yetu kwa leo. Ungana na Siraj Kalyango kwa maelezo zaidi.

Sauti -
3'54"