ohchr

02 Februari 2018

Katika jarida la leo la Umoja wa Mataifa, Flora Nducha anaanza na habari za simanzi za kuzama kwa wahamiaji huko Mediteranea, 90 wamekufa maji.  Ataelekea Kenya ambako vituo vitatu vya televisheni bado vimefungwa licha ya mahakama kuu kutaka vifunguliwe.

Sauti -
9'56"

Kenya fungulieni vituo vya televisheni mlivyofunga- UN

Tuna wasiwasi mkubwa kuwa vituo vitatu vya televisheni nchini Kenya bado vimefungwa kwa siku ya tatu sasa, imesema ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu hii leo. Siraj Kalyango na maelezo zaidi.

Saudi Arabia yakandamiza haki za banadamu

Saudi Arabia yakandamiza haki za binadamu

Saudi Arabia inaendelea kutumia sera na sheria zake kuhusu masuala ya usalama na  ugaidi kukandamiza wanaoipinga serikali.

Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa leo na jopo la wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswisi

Sauti -

Zeid haachii ngazi wala hajiuzulu:UN

Ofisi ya Kamisha mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Geneva, leo imetoa ufafanuzi kuhusu Kamisha mkuu Zeid Ra’ad al Hussein kutosaka muhula wa pili madarakani.

Sauti -