nyuki

Umuhimu wa nyuki kwa mazingira na kipato wangaziwa, Uganda

Nyuki wana mchango mkubwa katika maisha ya binadamu na mazingira na hasa umaarufu wake wa kuzalisha chakula kisichooza ambacho ni asali.

Sauti -
3'49"

Wafugaji wa nyuki na mafundi seremala Kigoma wapewa mafunzo ili kuboresha mizinga na uzalishaji bora wa asali.

Tarehe 20 ya mwezi huu wa Mei ilikuwa ni siku ya nyuki duniani msisitizo ukiwa katika kutunza wadudu hao wachavushaji wa maua ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa chakula.

Sauti -
5'31"

Mafundi seremala Kigoma wapatiwa mbinu za kutengeneza mizinga bora ya nyuki

Nchini Tanzania mashirika ya Umoja wa Mataifa kupitia mpango wa pamoja wa Kigoma, KJP yamekuwa yakitekeleza miradi mbalimbali ili kusaidia kusongesha maendeleo ya mkoa huo ambao kwa miaka kadhaa umekuwa ukipokea wakimbizi kutoka nchi jirani.

Bila nyuki upatikanaji wa chakula duniani mashakani- FAO

Leo ni siku ya nyuki duniani siku ambayo inatanabaisha umuhimu wa nyuki na tishio linalowakabili viumbe hao, kutoweka kwao utakuwa mtihani mkubwa kwa dunia  limesema shirika la chakula na kilimo

Sauti -
2'3"

20 Mei 2019

Je wajua kuwa bila nyuki uhakika wa chakula duniani uko mashakani? Hii leo ikiwa ni siku ya nyukia duniani tunakukutanisha na wabobezi kufahamu nyuki na faida zake.

Sauti -
12'3"

Dunia bila nyuki ni zahma kwa mustakabali wa chakula:FAO

Leo ni siku ya nyuki duniani siku ambayo inatanabaisha umuhimu wa nyuki na tishio linalowakabili viumbe hao, kutoweka kwao utakuwa mtihani mkubwa kwa dunia  limesema shirika la chakula na kilimo FAO  hususani kwa mustakabali wa chakula .