nishati

Maganda ya vyakula yana umuhimu -Nishati

  Shirika moja nchini  kenya limefanikiwa kugeuza maganda ya miwa, kahawa, na mahindi kuwa nishati mbadala kwa kutumia tekenolojia.

Sauti -
1'36"

Bila nishati katika jamii maendeleo ni mtihani

Nishati ya umeme inasalia kuwa muhimu sana katika maendeleo na ukuaji wa uchumi duniani kote kutokana na inavyohitajika katika matumizi ya kila siku ya watu, uzalishaji viwandani, miundombinu ya usafiri na kadhalika. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabili

Sauti -
6'

Paneli za sola huko Morocco ni mfano wa kuigwa- Guterres

Changamoto kubwa duniani kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi ambayo ni tishio kubwa kwa  maisha ya viumbe hususan uhai wa mwanadamu.

Sauti -
1'29"

Bila nishati endelevu wanawake Malawi wataendelea kuteseka- Chavula

Athari zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo salama hususan wakati wa kupikia ni moja ya kichocheo cha kuandika makala iliyonipatia ushindi wa tuzo. Amesema James Chavula mshindi wa tuzo ya Voice of Brighter Future. 

Bila nishati endelevu wanawake Malawi wataendelea kuteseka

Athari zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo salama hususan wakati wa kupikia ni moja ya kichocheo cha kuandika makala iliyonipatia ushindi wa tuzo. Amesema James Chavula mshindi wa tuzo ya Voice of Brighter Future.

Sauti -
2'5"

Nishati ya jua yaleta nuru kwenye umwagiliaji mazao

Mitambo ya umwagiliaji maji inayotumia nishati ya jua imekuwa muarobaini siyo tu katika kuimarisha lishe na kuongeza kipato bali pia kupunguza makali ya mabadiliko ya tabianchi.