Nishati ya jua

Ninatumia nishati ya jua katika ufugaji wa samaki - George Muga

Moja ya masuala yaliyojadiliwa kandoni mwa Mkutano wa ngazi ya juu ya siasa kuhusu maendeleo endelevu unaoendelea katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, ni pamoja na namna waafrika wengi wanavyopambana na njia za zamani za nishati na hivyo kutafuta njia mbadala kama vile

Sauti -
3'21"

04 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo kutoka Umoja wa Mataifa arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
12'3"

Umeme wa sola washika kasi Tanzania,  UNDP yaonyesha njia

Lengo namba 7 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yaliyopitishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015, yanataka pamoja na mambo mengine kuhakikisha nishati ya kisasa iliyo nafuu na ya uhakika inapatikana ili kufanikisha shughuli za kila siku za maendeleo.

Sauti -
4'10"

Majiko yatumiayo nishati ya jua ni ushindi kwa SDG’s:SCI

Majiko yatumiayo nishati ya jua pekee au sola  kwa ajili ya kupikia ni Ushindi mkubwa katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs, limesema shirika la kimataifa linalochagiza matumizi ya majiko ya nishati ya jua , lijulikanalo kama Solar Cookers International (SCI).

Jua la Sahel Afrika laweza kuzalisha asilimia 70 ya mahitaji ya umeme duniani

Ukanda wa Sahel barani Afrika umeelezwa kuwa mbioni kujikomboa na changamoto ya nishati kuanzia mijini hadi vijijini. Hii ni kutokana na mpango mpya wa Umoja wa Mataifa ambao lengo ni kutumia rasilimali kubwa ya asili ukanda huo ambayo ni jua, kuzalisha umeme kwa matumiazi ya majumbani na shughuli zingine , sio tu Sahel peke yake bali Afrika nzima na zaidi.

Paneli za sola huko Morocco ni mfano wa kuigwa- Guterres

Changamoto kubwa duniani kwa sasa ni mabadiliko ya tabianchi ambayo ni tishio kubwa kwa  maisha ya viumbe hususan uhai wa mwanadamu.

Nishati ya jua yaleta nuru kwenye umwagiliaji mazao

Mitambo ya umwagiliaji maji inayotumia nishati ya jua imekuwa muarobaini siyo tu katika kuimarisha lishe na kuongeza kipato bali pia kupunguza makali ya mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
1'44"

Zanzibar inasonga kuwawezesha wanawake vijijini: Fatma Bilal

Serikali ya Zanzibar imekuwa mfano wa kuigwa katika suala la uwezeshaji wanawake vijijini kujikwamua na umasikini kupitia miradi mbalimbali ya kimaendeleo kama ilivyo  katika ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030. 

Sauti -
1'46"

Zanzibar inasonga kuwawezesha wanawake vijijini: Fatma Bilal

Serikali ya Zanzibar imekuwa mfano wa kuigwa katika suala la uwezeshaji wanawake vijijini kujikwamua na umasikini kupitia miradi mbalimbali ya kimaendeleo kama ilivyo  katika ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030. 

Nishati ya jua yaleta nuru kwa wakimbizi Angola